Unataka kujenga nini leo?
Kila kitu unachohitaji kujifunza na kujenga programu zako za kwanza kwenye Quantaureum
SDK quickstart
Connect to Quantaureum from Go, Rust, C++, Java, Python or TypeScript with the official SDKs and JSON-RPC.
Run a node
Install and operate a Quantaureum node or validator with qauctl, from 4 GB RAM full nodes to validator setups.
Source code and samples
Study the open-source node implementation, QVM, bridge and example projects on GitHub.
Lipwa vizuri. Fanya kazi ukiwa mbali. Jenga siku zijazo.
Zaidi ya nusu ya taaluma za mnyororo wa vitalu ni za kufanya kazi ukiwa mbali huku baadhi ya makadirio yakiweka idadi hiyo kufikia 70%.
Pesa unayoweza kuipangia programu
Andika msimbo unaofafanua jinsi thamani inavyosonga, lini, na kwa nani. Hakuna benki, hakuna waamuzi, ni mantiki tu unayofafanua.
Ujuzi usiopitwa na wakati
Jifunze misingi ya intaneti ijayo. Teknolojia inaweza kubadilika, lakini kanuni za Web3 zitaendelea kuwepo.
Ustahimilivu wa udhibiti
Jenga miradi na biashara ambazo haziwezi kunyamazishwa na serikali, mashirika, au kanuni. Ikiwa ni muhimu, inabaki mtandaoni.
Mamlaka ya kidijitali
Miliki utambulisho wako, mali, na ubunifu wako mtandaoni bila kutegemea majukwaa yanayoweza kukufuta.
Rasilimali muhimu za msanidi
Pata msaada
Ikiwa umekwama au unahitaji msaada wa kutatua matatizo, hakikisha unaomba mwongozo.
Rasilimali
Unataka kufanya majaribio kwanza, uulize maswali baadaye? Angalia mazingira ya majaribio, kambi za mafunzo n.k.
Mafunzo
Jifunze uundaji wa Quantaureum hatua kwa hatua kutoka kwa wajenzi ambao tayari wamefanya hivyo.
Kozi za video
Unataka kuanzisha taaluma yako katika mnyororo wa vitalu? Kozi hizi zitakuandaa kuajiriwa kama msanidi wa mnyororo wa vitalu.
Quantaureum fundamentals
How the quantum-safe L1 works: QPOS finality, post-quantum keys and the QVM.
Building with the SDKs
Hands-on development against the JSON-RPC, WebSocket and GraphQL interfaces.
Gundua nyaraka
Elewa dhana za msingi za Quantaureum na minyororo ya vitalu
Utangulizi
Utangulizi wa mnyororo wa vitalu na Quantaureum
page-developers-intro-QAU-desc
Utangulizi wa mrundikano wa Quantaureum
Jinsi ulimwengu wa uundaji wa Web3 ulivyo tofauti

Misingi
Jinsi vitalu na miamala inavyothibitishwa kwenye mtandao
Etha inayohitajika kuwezesha miamala
Muhtasari wa Mtandao Mkuu na mitandao ya majaribio
Mrundikano
Hatua za usalama za kuzingatia wakati wa uundaji wa mikataba mahiri
Lango lako la data ya Quantaureum
Mantiki nyuma ya programu tumizi zilizogatuliwa (dapps) – mikataba inayojitekeleza
Jiunge na hackathon
Hackathon ni fursa nzuri za kujenga mtandao na kujifunza kutoka kwa wengine pamoja na kuanzisha miradi na kujishindia zawadi
Je, wewe ni mwanzilishi?
Je, tayari una wazo la mradi au unafanyia kazi mfano wa awali? Chunguza jinsi ya kupeleka mradi wako katika hatua inayofuata. Tunaweza kukuunganisha na mashirika husika na wataalamu katika uwanja huu.



